GE2025 VODACOM: Kama hutaki tukutumie Meseji za Uchaguzi 2025, Kalalamike TCRA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya Vodacom, iimewataka wananchi ambao hawataki kutumiwa meseji za Uchaguzi, waende kushitaki au kulalamika TCRA.

Meseji utake usitake utapokea tu. Huna uhuru wala haki yoyote ya kuamua wala kuchagua kwa mtakwa yako.

Pumzika kwa amani Alfonce Mawazo. Muda huu angeshafika Ofisi za Vodacom ngumi mkononi
Your browser is not able to display this video.
 
Hiki unachofanya ni spamming. Nadhani ujifunze usitaarabu.. Inahusianaje na hii mada? Kila threas inapaste hii taarifa.

Nashauri una dukuduku kaandike kwenye mjadala husika.. Unatutoa kwenye reli. Ukirudia nakutukana
 
unajielewa kweli wewe? Acha upuuzi huo mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…