cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Haswaaa.Ikiingia serikali yenye kufuata sheria na kuachia mahakama ziwe huru, Vodacom inaweza kufilisika kwa kupigwa faini. Hii kampuni ni ya kijinga sana na inadhani inatakiwa kuwa chawa wa serikali na siyo kufuata sheria.