GE2025 VODACOM: Kama hutaki tukutumie Meseji za Uchaguzi 2025, Kalalamike TCRA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Labda hawana habari kuwa kuna wananchi hawataki uchaguzi huu. Si wakasome mitandaoni reaction za watu?
 
Mimi nimefanikiwa kuziblock kupitia google messaging app.
 
Wasengerema sana hawa hawa makampuni, waganga wa kienyeji watusumbue na hawa ng'ombe wa Sirmear
 
Hivi kama ni TCRA - hiyo number ya mteja kawapa Nani kama sio Voda wenyewe? Je Kugawa number ya mteja na kumsababishia usumbufu bila ridhaa yake yaweza kuwa ni kosa la kosheria? Gharama za kuwapigia TCRA nani anazibeba? Voda, tcra au mteja?
 
Be a great thinker. Kidichotakiwa hapo sio sms,ni uchaguzi
Ww ndo uwe great thinker, kwahy Unaweza kublock sms zngn Afu za uchaguzi ndo ushindwe kuzuia?

Kama ww hutak uchaguzi bc kuna wngn wanataka, Kwahy usilazimishe mambo yako yawe mambo ya wngn
 

To block an SMS on Android,
open the conversation, tap the sender's name or the three-dot menu, and select "Block" or "Block contact". You can also block numbers manually by going into the messaging app's settings, finding the "Blocked numbers" or "Spam & blocked" section, and adding a new number.


From an existing conversation
 
Ww ndo uwe great thinker, kwahy Unaweza kublock sms zngn Afu za uchaguzi ndo ushindwe kuzuia?

Kama ww hutak uchaguzi bc kuna wngn wanataka, Kwahy usilazimishe mambo yako yawe mambo ya wngn
Akili ndogo anatafuniwa na bado haelewi.
Ujumbe anaotoa aliyejirekodi ni kupuuza uchaguzi, sio kwamba hawezi kublock. Motive ya hiyo simu ni kuonyesha kupuuza uchaguzi
 
Hamjui ku-block SMS?

Mpaka hao Voda wenyewe mimi sipokei SMS zao zisizoeleweka!

Pokea hiyo moja then piga pin!
Ndiyo maana nakopaga Songesha kisha na block.
 
Akili ndogo anatafuniwa na bado haelewi.
Ujumbe anaotoa aliyejirekodi ni kupuuza uchaguzi, sio kwamba hawezi kublock. Motive ya hiyo simu ni kuonyesha kupuuza uchaguzi
Sasa kama amepuuza uchaguzi unataka na wngn wapuuze?
 
Hamjui ku-block SMS?

Mpaka hao Voda wenyewe mimi sipokei SMS zao zisizoeleweka!

Pokea hiyo moja then piga pin!
Kwenye kiswaswadu unablockije. Ni haiwezekani
 
Ila wanaboa kwa kwelii, khaaah
Ikiingia serikali yenye kufuata sheria na kuachia mahakama ziwe huru, Vodacom inaweza kufilisika kwa kupigwa faini. Hii kampuni ni ya kijinga sana na inadhani inatakiwa kuwa chawa wa serikali na siyo kufuata sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…