Haswaaa.Ikiingia serikali yenye kufuata sheria na kuachia mahakama ziwe huru, Vodacom inaweza kufilisika kwa kupigwa faini. Hii kampuni ni ya kijinga sana na inadhani inatakiwa kuwa chawa wa serikali na siyo kufuata sheria.
Viswaswadu vingi Techno, Itel vinaweza! Vina kitu kinaitwa blacklist.Kwenye kiswaswadu unablockije. Ni haiwezekani
Nokia tochi haina blockHamjui ku-block SMS?
Mpaka hao Voda wenyewe mimi sipokei SMS zao zisizoeleweka!
Pokea hiyo moja then piga pin!
Kwenye kitochi block iko wapiPiga block zitakuwa zinaingia kwenye spam box hutaziona tena
Hapo nimekupata kamandaViswaswadu vingi Techno, Itel vinaweza! Vina kitu kinaitwa blacklist.
KabisaPiga pini.