View attachment 2398669Nimejiunga na bando la Kasi 50,000/= nimejitahidi kulikausha ili nipate experience ya hii spidi wanayotoa baada ya bando kuisha. Spidi test inaonesha kama unavyoona hapo.
Nimejaribu kustream aljazeera Youtube kwa quality zifuatazo 144p, 240p, 360p na 480p hakuna kukwama ata kidogo.
Nmejaribu 720p inapiga lakini baada ya sekunde 7 ina load kwanza 1080 p inakwama zaidi.
Sijajua kama hili bando la ngongeza lina kikomo cha MB au la.
Mpaka sasa ninarecommend Vodacom KASI internet, haijaniangusha hata kidogo.
Kama kutakua na mrejesho zaidi nitaleta.