Vodacom Kasi Internet ni Utapeli?

Vodacom Kasi Internet ni Utapeli?

Kuna uwezekano ukakuta fair usage policy inamaswala ya 30gb spidi yote then 26gb spidi ya Kobe, je icho kifurushi umewaijiunga hapo kabla ?
 
Screenshot_20221026_200942.jpg
Nimejiunga na bando la Kasi 50,000/= nimejitahidi kulikausha ili nipate experience ya hii spidi wanayotoa baada ya bando kuisha. Spidi test inaonesha kama unavyoona hapo.
Nimejaribu kustream aljazeera Youtube kwa quality zifuatazo 144p, 240p, 360p na 480p hakuna kukwama ata kidogo.
Nmejaribu 720p inapiga lakini baada ya sekunde 7 ina load kwanza 1080 p inakwama zaidi.
Sijajua kama hili bando la ngongeza lina kikomo cha MB au la.
Mpaka sasa ninarecommend Vodacom KASI internet, haijaniangusha hata kidogo.
Kama kutakua na mrejesho zaidi nitaleta.
 
View attachment 2398669Nimejiunga na bando la Kasi 50,000/= nimejitahidi kulikausha ili nipate experience ya hii spidi wanayotoa baada ya bando kuisha. Spidi test inaonesha kama unavyoona hapo.
Nimejaribu kustream aljazeera Youtube kwa quality zifuatazo 144p, 240p, 360p na 480p hakuna kukwama ata kidogo.
Nmejaribu 720p inapiga lakini baada ya sekunde 7 ina load kwanza 1080 p inakwama zaidi.
Sijajua kama hili bando la ngongeza lina kikomo cha MB au la.
Mpaka sasa ninarecommend Vodacom KASI internet, haijaniangusha hata kidogo.
Kama kutakua na mrejesho zaidi nitaleta.
Mkuu shukran kwa hii speed, 850kb maisha ya 480p unaishi kabisa.

Ni supakasi vyote vipo hivi ama cha 50k tu?
 
Mkuu shukran kwa hii speed, 850kb maisha ya 480p unaishi kabisa.

Ni supakasi vyote vipo hivi ama cha 50k tu?
Kasi na Super kasi ni huduma mbili tofauti. Watu wa supa kasi hawana limit sie wa Kasi internet ndio tunakua na limited speed baada ya kumaliza MB.
Limit ya spidi ni kwa vifurushi vyote vya kasi kuanzia 50, 85 na 120,000/= baada ya kumaliza MB.
Kwa upande wangu spidi hii siyo mbaya maana naweza kustream na kufanya whatsapp call vizuri.
 
Attachments

  • Screenshot_20221027_072525.jpg
    Screenshot_20221027_072525.jpg
    54.7 KB · Views: 32
Back
Top Bottom