je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Nimefanyiwa kitu cha hovyo na Vodacom sijui ni kwangu au na kwa wengine pia kama kinawatokea.
Nimeweka vocha naambiwa kuna tatizo la kiufundi na baadae naweka tena naambiwa vocha imetumika katika namba fulani ambayo ndio namba yangu lakini nikiangalia salio na kuta ni lile lile la jana.
Huu ni utapeli wa wazi na ukijaribu kuwatafuta inbox labda Facebook unapata majibu yale ya automatic lakini huduma hakuna.
Kwa hili tu naomba Halotel mnipokee sitaki huu upuuzi wa Voda tena kwanza MB ndogo dakika chache sms 30.
Sent using Jamii Forums mobile app