Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #21
Mimi nina line tatu Voda , Tigo , na Halotel . Voda nimekimbia mdau baada ya kutoa kifurushi cha WK buku 3 kwa Gb nikawa Tigo sasa nimerudisha majeshi yangu yote Halotel maana hawa ndio gharama zipo nafuu kwa sasa kuliko wote baada ya kufanya tafiti jana .
Ebu tupe u nafuu waoHakuna atakayebaki salama
Kwani lazima uwe na mb!!?..Kama una biashara hauendi bila mb Basi hizo ndiyo changamoto za biasharaWametushika pabaya, na kufanya boycott watanganyika hatuwezagi kabisa.
Mimi tangu nikope Songesha na mpawa kulipiza kisasi, line yao IPO IPO tu kila siku wanatuma SMS za vitisho.Ndo maana vpn za kuwaibia hazitaisha
TTCL BUFFEE wameminya MB kwa hela ile ileHalotel wameshapandisha
Tigo nao wamepandisha
Nahisi mitandao yote vifurushi vimepanda
KabisaHalotel wameshapandisha
Tigo nao wamepandisha
Nahisi mitandao yote vifurushi vimepanda