Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
- #21
Hakuna atakayebaki salama
Mimi nina line tatu Voda , Tigo , na Halotel . Voda nimekimbia mdau baada ya kutoa kifurushi cha WK buku 3 kwa Gb nikawa Tigo sasa nimerudisha majeshi yangu yote Halotel maana hawa ndio gharama zipo nafuu kwa sasa kuliko wote baada ya kufanya tafiti jana .