Vodacom kufanya mabadiliko makubwa usiku wa leo, Aprili 1, 2026

Vodacom kufanya mabadiliko makubwa usiku wa leo, Aprili 1, 2026

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
721
Reaction score
438
Ninawapongeza sana Vodacom Tanzania kwa hatua hii kubwa wanayokwenda kuboresha mfumo wao wa M-Pesa kwa kutumia teknolojia ya kisasa zaidi.

Hii inaonesha dhamira yao ya dhati ya kuendelea kutoa huduma iliyo haraka, salama na bora zaidi kwa Watanzania.

Ni wazi kabisa kuwa wanaendelea kuwekeza kwenye ubora na urahisi wa huduma kwa wateja wao — hatua ambayo inastahili pongezi.

Haya ndiyo mambo muhimu unayopaswa kujua… 🎥

#pesanimpesa
#pamojatunaweza
#VodacomTanzania
 
Kwenye m pesa tu? Vipi huduma za internet na vifurushi vyake, huoni kile kifushi cha shilingi 2100 ni changamoto kwa muda wake wa saa 24?. Na ununuaji wa vocha itabidi ununue vocha za 2500 wakate na ibaki 400 ije itumike yote nzima?
 
Back
Top Bottom