Blasio Kachuchu JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 721 Reaction score 438 Apr 1, 2026 #1 Ninawapongeza sana Vodacom Tanzania kwa hatua hii kubwa wanayokwenda kuboresha mfumo wao wa M-Pesa kwa kutumia teknolojia ya kisasa zaidi. Hii inaonesha dhamira yao ya dhati ya kuendelea kutoa huduma iliyo haraka, salama na bora zaidi kwa Watanzania. Ni wazi kabisa kuwa wanaendelea kuwekeza kwenye ubora na urahisi wa huduma kwa wateja wao — hatua ambayo inastahili pongezi. Haya ndiyo mambo muhimu unayopaswa kujua… 🎥 #pesanimpesa #pamojatunaweza #VodacomTanzania Your browser is not able to display this video.
Ninawapongeza sana Vodacom Tanzania kwa hatua hii kubwa wanayokwenda kuboresha mfumo wao wa M-Pesa kwa kutumia teknolojia ya kisasa zaidi. Hii inaonesha dhamira yao ya dhati ya kuendelea kutoa huduma iliyo haraka, salama na bora zaidi kwa Watanzania. Ni wazi kabisa kuwa wanaendelea kuwekeza kwenye ubora na urahisi wa huduma kwa wateja wao — hatua ambayo inastahili pongezi. Haya ndiyo mambo muhimu unayopaswa kujua… 🎥 #pesanimpesa #pamojatunaweza #VodacomTanzania Your browser is not able to display this video.
M Miss Madeko JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 4,442 Reaction score 5,746 Apr 1, 2026 #2 Kama kuna deni la songesha litaisha?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Apr 1, 2026 #3 Kwenye m pesa tu? Vipi huduma za internet na vifurushi vyake, huoni kile kifushi cha shilingi 2100 ni changamoto kwa muda wake wa saa 24?. Na ununuaji wa vocha itabidi ununue vocha za 2500 wakate na ibaki 400 ije itumike yote nzima?
Kwenye m pesa tu? Vipi huduma za internet na vifurushi vyake, huoni kile kifushi cha shilingi 2100 ni changamoto kwa muda wake wa saa 24?. Na ununuaji wa vocha itabidi ununue vocha za 2500 wakate na ibaki 400 ije itumike yote nzima?