mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 957
Wakitoka voda poa tu tutapata wengine wadhamni wengi sana wanatafuta mileage na penetration!watajuta baaadae wakitutosa!!
JK kwa mfano. anaweza kuwadhamini vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitoka voda poa tu tutapata wengine wadhamni wengi sana wanatafuta mileage na penetration!watajuta baaadae wakitutosa!!
kwani kabla ya vodacom wallikuwa wanadhaminiwa na nani? Hata hivyo mashindano yenyewe hayana tija. Rene Meza keshaliona hilo
Taratibu kaka acha hizo unajuaje kasi yake haina support ,wengi wanamchukia Rene kwa kukata mirija ya tenda walizokuwa wanapata baadhi ya watu fulani tu kwa kujuanaHakuna cha Rene wala nini atachemsha tu maana kasi yake haina support na pia yuko pekeyake atachemsha tu