Vodacom kumwaga mabilion kwa wateja wake

Billion 28 si zinagawiwa kwa wanahisa wanaomiliki hisa za Vodacom?
Kama wewe ni mtumiaji tu wa mtandao huo wa Vodacom huna hata hisa moja unayomiliki unalipwa kwa nini wakati Vodacom inafanya biashara? 😳
 
Mimi nimefikia kiwango cha mwisho kuweka pesa (10m), napataje hilo gawio?
 
Pesa zao hao jamaa huwa hazizidi buku.

Yas huwa wananipa offer mara nyingi nyingi, mara umekula mb, mara dakika , mara sms ila voda makauzu kweli.
 
Na wakina sisi hatujawahi kufanya ata mihamala ya voda gawio halituhusu yani unaweza kupata 1 Tsh😁
 
Huu mtandao nimeutumia tangu 2006 mpaka Sasa sijawahi kuona hiki unachosema.... hata gawio la Tsh 1000 sijawahi kuona... Ni vile nawapenda tuu....

Inasikitisha sana....
Tigo wanatoa 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…