Vodacom kuna nini????

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
Nasikia kulikua na mpango wa kuwauzia wafanyakazi wa Vodacom zile voda shops, ni wafanyakazi pekee ndio waliotakiwa kuzinunua.

sasa nasikia EL kachukua voda shops za morogoro zote. je ni kweli
 
Wezi wa kodi hao wanatakiwa wafukuzwe na kuwekwa ndani. haiingi akilini hizi kampuni zinakwepa kodi tena mchana kweupe kwa kutumia mafisadi yaliyojichimbia ndani ya CCM.
 
kwani hujui EL na RAZIZ ni mashost,sasa RAZIZI ana share kubwa pale Voda thats y imekua simpe kwa huyo monduli presidaa kununua hizo voda shops za moroo
 

Si kweli kwamba zile vodashops zinauziwa kwa wafanyakazi wa vodacom tuu.
Zinauzwa kwa mwananchi yeyote tuu, miye jamaa yangu wa karibu hafanyi kazi voda lakini amenunua.
Na ninavyojua miye Morogoro kuna vodashop moja tuu sasa mtoa mada anaposema EL amenunua Voda shops zote za Morogoro, Mh sielewi!!
 
Wamebinafisha vitengo vingi tu,ikiwemo Engineering plus mitambo sasa itakuwa Nokia simens
 


Huyo jamaa athibitishe kuwa huyo EL kaninua vodashop zote za morogoro ili isije ikawa analeta chuki zake hapa. Tusijaribu kuleta chuki ila tutoe vitu vyenye uhakika. Nachukia mafisadi lakini uongo pia ni ufisadi.
 
hakuna ukweli hapo hakukuwepo na issue km hiyo ya kuwauzia wafanyakazi. mwenye uwezo wa kundesha anapewa. halafu alphatel ni ya lowasa na ni super dealer wa voda miaka mingi so kwa nini asipewe VSHOP wakati yeye ni super dealer?
 


Huyo jamaa athibitishe kuwa huyo EL kaninua vodashop zote za morogoro ili isije ikawa analeta chuki zake hapa. Tusijaribu kuleta chuki ila tutoe vitu vyenye uhakika. Nachukia mafisadi lakini uongo pia ni ufisadi.
 

Mcheck vizuri anaweza kuwa katumwa na mzee manywele.

Unataka uniambie ukienda Manungu, Kilombelo, Kilosa, Mikumi, Ifakara hakuna Voda shop?
 
Mh LEma ana kazi


Hii nimeikuta sehemu
Re: CCM yatapatapa; Masha asema chama kimemeguka


Originally Posted by nngu007


Tume hiyo ya vijana inaundwa na Riziki Pembe ambaye ni mjumbe toka UVCCM Zanzibar, Fadhili Njagilo mwenyekiti vijana Iringa, Hussein Bashe, mjumbe bara ambaye pia ni mwenyekiti wa tume hiyo, Rogas Shemwelekwa mjumbe UVCCM Tanga, Daud Smail toka UVCCM Zanzibar, Ashura Shengondo toka UVCCM bara na Anthon Mavunde mjumbe toka UVCCM bara.







Waislamu wa5.

Makafir wa2


kweli BAKWATA ni TAWI mama la CCM​
 

Wewe ni mfanyakazi wa vodacom? maana wangelalamika staff wa voda ingekuwa swa tu, nachelea kusema umedandia gari kwa mbele haujui lolote lile!

after all vodacom siyo mali ya umma, waacheni wenyewe!
 
Wanajamii naomba mnijuze. Hivi isue kama hizi huwa zinatangazwa wapi? manake hata mimi ningetamani kumiliki vodashop.
 
Wanajamii naomba mnijuze. Hivi isue kama hizi huwa zinatangazwa wapi? manake hata mimi ningetamani kumiliki vodashop.

Umeambiwa hiyo ni mali ya watu binafsi. Wewe subiri TTCL ambayo ni ya umma kama itauzwa itatangazwa kwa mujibu wa the Public Procurement Act, 2004! Private sector haifungwi na sheria ya kutangaza mali wanazouza au kukodisha! Teh teh
 

Hii ni ni sasa New Thread au Unachangia thread iliyopo?
 
Subiri Mod akuone maana alisha-warn juu ya hili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…