Vodacom kuna shida gani? Nimejiunga bando la MB wamenipa dakika bila MB

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.

Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
 
Yaani natumia mb za kudunduliza kwasababu tu vodacom wamegoma kunipa bando langu la mb. Shida ni nini?
 
Wa tag kama wako huku wakujibu ama nenda kwenye official pages zao za Facebook wa inbox tatizo lako ukiambatanisha na namba zako
 
Nisaidie kufanya hivyo. Mi sina account huko fb, labda twiter.
Na ujue siku hizi wanasingia tatizo la internet
 
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.

Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
Ukiwacheki watakwambia shida ni internet
 
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.

Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
Tumia akili bro
 
Back
Top Bottom