Voda ni wezi sana hata cheka time ni upumbavu mtupu wanakata dakika kakijifanya umezitumia zimekwisha, hawa jamaa wanatuona cc mazuzu! alafu wanatusumbua sana na sms zao za matangazo yaan inbox yote inajaa sms zao za kipuuzi, alafu wamatudanganya kama watoto mara usopoteze nyongeza yako kwa kuweka salio la elfu 7 upate mara 2, au wakwambie no. Yako imechaguliwa kupatailipm 100 ! Daaaah hawa jamaa wezi jaman yaan hata ukinunua luku kwa m pesa mtandao ukisumbua kidogo na pesa ikawa eondoka ujue washakupiga ivyo coz ukiwapigia watakupa blabla za kusubir had uchoke uwaachie pesa! Me mshafanya uamuz nimehamia zangu naniliiiiiiiiiii!