Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 316
- 100
Tukiwa tunapiga cm kwenda kwa ndgu zetu waliko nchini Uganda wakipokea cm walikuwa hawachajiwi,ila sasa ngoma imebadilika makato alafu yanakuwa makubwa zaidi ya yule aliyepiga.Aliyepigiwa gharama yakupekea cn ndo kubwa zaidi ya aliyepiga.Hapa nashindwa kuelewa yani anayepokea ana chajiwa zaidi ya aliyepiga! Hebu mtu wa voda aje aeleze hapa hili jambo likoje na ndo hvyo ndgu zetu wasahau voda wakiwa uganda au kuna marekebisho.