Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
unyonyaji ili wao waendelee kujipongeza till nilitupa kitambo nadeal na voda fasterTatizo mnatoa commision ndogo aisee yaani mwezi mzima napata commision ya 50000 khaaaa bora niuze voda faster tu.mnatuvunja moyo sana mawakala.hata tukipata matatizo mnachelewa kutusaidi
Yaani nawekaga float basii tu nisikimbize wateja wangu ila tigo hadi raha yaani ananifanya hadi nasahau machungu ya voda kwa mwezi huwa inagonga hadi karibu na M huko nashangaa hawa jamaaa inakuwaje kwao wakati napata wateja????! Nikagundua commision ni kiduchu kweliiunyonyaji ili wao waendelee kujipongeza till nilitupa kitambo nadeal na voda faster
Yaani nawekaga float basii tu nisikimbize wateja wangu ila tigo hadi raha yaani ananifanya hadi nasahau machungu ya voda kwa mwezi huwa inagonga hadi karibu na M huko nashangaa hawa jamaaa inakuwaje kwao??! wakati napata wateja????! Nikagundua commision ni kiduchu kweliiunyonyaji ili wao waendelee kujipongeza till nilitupa kitambo nadeal na voda faster
Kujiunga unafanyaje apo? Mkuuu
*149*42#Kujiunga unafanyaje apo? Mkuuu
Jibu swali langu mkuu[emoji115] [emoji115] [emoji115]Kwanini mnachelewesha namba za uwakala wa m pesa kwa mtu aliyekidhi vigezo?
Hello
Haliishi bando bado ipo, piga *149*01#ok> 3(cheka+cheka zoga)> 7 (Haliishi bando) kupata huduma hiyo.
Asante
Naomba hiyo till mkuuunyonyaji ili wao waendelee kujipongeza till nilitupa kitambo nadeal na voda faster
haha nilibadilishana na pesa tena niliinunua kwa mwanajf na kumuuzia jf mwingineNaomba hiyo till mkuu
You derseve. HongereniVodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za kibenki, kuweka na kukopa pesa, kutuma pesa nje ya nchi na huduma nyingine nyingi. Huduma hizo zote zinapatikana kwa njia rahisi sana ya huduma ya pesa kwa njia ya mtandao ambayo ilikuwepo tangu mwanzoni.
Vodacom M-Pesa inaongoza Tanzania kwa huduma za kifedha za mtandao kwa makampuni ya simu za mkononi kwa asilimia 42 huku ikiwa na watumiaji hai 8.2 milioni, mawakala 106,000, wafanyabiashara wakubwa zaidi ya 2,000 wafanyabiashara wadogo 15,000 na benki 30 ambao zimeunganisha kwenye mtandao wa Vodacom M-Pesa. Kwa mtandao mpana na imara, M-Pesa imeweza kutoa huduma kwa Watanzania vijijini na mijini ambapo wameweza kutumia huduma halali ya kifedha na kusababisha kukua kwa uchumi wa Taifa kutoka 58% 2013 na 44% 2009 hadi 65% kwa mwaka 2017.View attachment 789681
Aisee nasikitika kifurushi changu cha yakwako tu kimepunguzwa.Endelea kufuatilia kurasa zetu, kama ilivyo kauli mbiu yetu ya Yajayo yanafurahisha, Uko Tayari? tutakuletea mambo mazuri muda si mrefu.
Kweli aisee!ya sasa yanatisha. tsh 500 = mb 70. mpo kwa ajili ya kumaliza damu za watanzania.[emoji22][emoji22][emoji22]
Mkuu mbona sielewi yaani 2500 hii ambayo mimi napata mb 1280 kama sikosei.
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za kibenki, kuweka na kukopa pesa, kutuma pesa nje ya nchi na huduma nyingine nyingi. Huduma hizo zote zinapatikana kwa njia rahisi sana ya huduma ya pesa kwa njia ya mtandao ambayo ilikuwepo tangu mwanzoni.
Vodacom M-Pesa inaongoza Tanzania kwa huduma za kifedha za mtandao kwa makampuni ya simu za mkononi kwa asilimia 42 huku ikiwa na watumiaji hai 8.2 milioni, mawakala 106,000, wafanyabiashara wakubwa zaidi ya 2,000 wafanyabiashara wadogo 15,000 na benki 30 ambao zimeunganisha kwenye mtandao wa Vodacom M-Pesa. mwaka 2017.View attachment 7896
Siku wakikukopesha, naamini na mimi watanikopesha. Natunza sana pesa M - PAWA, lakini sipati hata mkopo wa shilingi mia.Makato yenu ni makubwa sana
Halaf vigezo ya kukopeshwa MPAWA ni vipi mbona hamnikopeshagi wakati huwa natunza pesa humo