Vodacom M-Pesa: Tunasherehekea miaka kumi ya kubadilisha maisha ya Watanzania

Bei ya laini ya uwakala wa M-pesa nikubwa mno vipi mnasema kuwa mmeendelea kuwasaidia WaTANZANIA wakati huku vijijini hakuna mawakala na hata vijana tunapojitahidi kuwasaidia kufikisha huduma hiyo kila kona ya tanzani tunashindwa kwa sababu ya makosa madogo madogo ya usimamizi wa mawakala wenu wakuu.
BEI NIKUWA SANA YA KUNUNUA LAINI YA UWAKALA PUNGUZENI MNAPOTEZA WATEJA
 
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za kibenki, kuweka na kukopa pesa, kutuma pesa nje ya nchi na huduma nyingine nyingi. Huduma hizo zote zinapatikana kwa njia rahisi sana ya huduma ya pesa kwa njia ya mtandao ambayo ilikuwepo tangu mwanzoni.
Vodacom M-Pesa inaongoza Tanzania kwa huduma za kifedha za mtandao kwa makampuni ya simu za mkononi kwa asilimia 42 huku ikiwa na watumiaji hai 8.2 milioni, mawakala 106,000, wafanyabiashara wakubwa zaidi ya 2,000 wafanyabiashara wadogo 15,000 na benki 30 ambao zimeunganisha kwenye mtandao wa Vodacom M-Pesa. Kwa mtandao mpana na imara, M-Pesa imeweza kutoa huduma kwa Watanzania vijijini na mijini ambapo wameweza kutumia huduma halali ya kifedha na kusababisha kukua kwa uchumi wa Taifa kutoka 58% 2013 na 44% 2009 hadi 65% kwa mwaka 2017.View attachment 789681
Angalieni huu ujanja na wizi mnaowafanyia watanzania mtu hajajiunga na huduma yoyote mnamuingiza huko ili vu hela vyake mkate hasa wasiojua kusoma na kuandika ndo mana mnatangaza faida kubwa kwa huu wizi.
Screenshot_20180722-151748.jpg
 
Mnazingua sana nyie nimemnunilia mtu kifurushi nashangaa hakijafika sijui tatizo nini?
 
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za kibenki, kuweka na kukopa pesa, kutuma pesa nje ya nchi na huduma nyingine nyingi. Huduma hizo zote zinapatikana kwa njia rahisi sana ya huduma ya pesa kwa njia ya mtandao ambayo ilikuwepo tangu mwanzoni.
Vodacom M-Pesa inaongoza Tanzania kwa huduma za kifedha za mtandao kwa makampuni ya simu za mkononi kwa asilimia 42 huku ikiwa na watumiaji hai 8.2 milioni, mawakala 106,000, wafanyabiashara wakubwa zaidi ya 2,000 wafanyabiashara wadogo 15,000 na benki 30 ambao zimeunganisha kwenye mtandao wa Vodacom M-Pesa. Kwa mtandao mpana na imara, M-Pesa imeweza kutoa huduma kwa Watanzania vijijini na mijini ambapo wameweza kutumia huduma halali ya kifedha na kusababisha kukua kwa uchumi wa Taifa kutoka 58% 2013 na 44% 2009 hadi 65% kwa mwaka 2017.View attachment 789681
Kwa nn hadi leo hamjatulipa wanahisa gawio letu?
 
Hivi swali hili mlishajibu?

Mtu anaweka hela yake katika M-pesa wengine hadi milioni moja. Bahati mbaya anapata ajali na kupoteza maisha. Fedha yake inakuwa imepotea?. Kumbuka tunasema namba yako ni Siri.
Chukua mazingira yote: aliyeoa au kuolewa, 2. Mtu yuko mgodini anaishi yeye kama yeye na namba yake ya Siri anayo yeye tu. Imetokea amekufa maana yake hela ni ya kampuni?
 
Vodacom Tanzania Naomba kufahamu kwa mteja aliyeamua kujiunga na huduma zenu ya M-PESA Business Account ili apate Disbursement Account na Collection account inachukua muda gani mpaka aanze kuhudumia wateja wake.
 
Hivi swali hili mlishajibu?

Mtu anaweka hela yake katika M-pesa wengine hadi milioni moja. Bahati mbaya anapata ajali na kupoteza maisha. Fedha yake inakuwa imepotea?. Kumbuka tunasema namba yako ni Siri.
Chukua mazingira yote: aliyeoa au kuolewa, 2. Mtu yuko mgodini anaishi yeye kama yeye na namba yake ya Siri anayo yeye tu. Imetokea amekufa maana yake hela ni ya kampuni?
Salaam ndugu,
Pesa yako ni salama wakati wote, ukipoteza maisha pesa inatunza kwenye akaunti maalumu na kama kuna ndugu au jamaa wa mtumiaji atazihitaji basi kuna taratibu za kufuata ( karibu vodashop ya karibu kwa ufafanuzi zaidi) na akikamilisha atapatiwa, na kama hatatokea basi fedha hizo zinawasilishwa kwa mamlaka husika (serikalini) kama maelekezo yanavyotakikana.
Asante sana
 
Vodacom Tanzania ni hatua na vigezo vya kupata laini ya M_pesa yenye mfumo wa kulipa kwa kutumia NAMBA YA KAMPUNI na KUMBUKUMBU NAMBA!! Yaani namaanisha mteja akihitaji kulipia bidhaa kwangu, aingize namba yangu ya Kampuni na kumbukumbu namba
 
Back
Top Bottom