Tatizo matangazo yao ndio yamekuzingua mkuu. Try tiGO Pesa, to my opinion this can be the best. Nimejaribu M-Pesa kama 2 weeks tangu nilipo-join kwenye mtandao wa vodacom, ki-msingi leo nimeamua kuachana nao kabisaaa..! About 1 hour ago kabla sija-post hii reply nilijaribu kununua airtime thru M-Pesa, msg ya mwisho niliyoiona kwenye display ya simu yangu regarding my request ilisomeka hivi:- "ombi lako limetumwa". Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hivi sijapata jibu. Na hii sio leo tu, nafikiri hivi ndivyo ilivyo maana sio chini ya mara 3 nakutana na kizunguzungu cha aina hii. Sasa sijui maombi haya huwa yanatumwa mbinguni? BIG UP tiGO Pesa..! Jaribu hii option bro, huku hakuna kutuma maombi, hiyo pesa ni mali yako, maombi ya nini tena...