Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Upumbavu ni Nini?Wapumbavu ndo waliwao
Kwamba hao m wekeza ni matapeliMatapeli wanazichezea sana line za voda,wimbi limekua kubwa
Hapana,line za voda tu zimekua zikisakamwa,maelezo ya kubadili password m pesa ni kwa wengi,na calls kuwa diverted ni nyingi sanaKwamba hao m wekeza ni matapeli
Vipi faida ilianza kuonekana lakini kwako??Kwamba hao m wekeza ni matapeli
Ndio mkuuVipi faida ilianza kuonekana lakini kwako??
Wanazingua sanaHawa jamaa inabidi wajipange maana wanachokifanya hakina uhalisia kabisa kama muda wa kuanza kutoa huduma ulikua bado mngekaa chini kwanza mboreshe huduma zenu kisha mje upya .. watu kuweka mnaweka bila shida ila kutoa sasa kila muda kuna tatizo la kiufundi hayo matatizo mnayo ninyi tu kila siku "kekundu kekundu"
Inakuja na kupoteaWakuu mbona menu ya m wekeza haipo mpesa App??