Lakini jamani kwani hawa hawawezi Kiswahili au kuongea English ni lazima,nafikiri kuna kaushamba fulani kwa hawa wenzetu,nafikiri Lundenga na waandaaji wenzake inabidi wapate shule kidogo...nasikia aibu na hicho kiingereza chao na kinawafanya hata washindwe kufikisha ujumbe wanaotaka na Invicible mbona video kiwango ni cha hali ya chini sana au ni vile vya cameraphone.....still production ya event nzima inaonekana wanahitaji mtu wa kuuwasaidia bado,jamani mlio juu au wanaotaka hii course ni mwaka mmoja tuu.