VodaCom Miss Tanzania 2009

VodaCom Miss Tanzania 2009

Mashindano yamedooooda! Washindani wanaonekana wamechooooka... Hata sijui nani atashinda ati
 
10_09_zs3vhs.jpg

10_09_urh2nf.jpg

10_09_4hbbta.jpg

10_09_kc4mhu.jpg

10_09_w83j55.jpg


10_09_6nsgev.jpg

10_09_zzv38m.jpg

10_09_7mftnh.jpg

10_09_f8b3bx.jpg

 
Hivi walikuwa wanatembea jukwaani

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=tageUv3gqe0[/ame]
 
i dont know what say.......maybe atafaaa

invisible thanx kwa kuwa fasta.
 
Hapa ni wakati wa maswali na majibu:

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=VuxLNnF3xKg[/ame]
 
Kichekesho gari halijaoshwa! Lundenga hayuko serious kabisa...

Mshindi huyu pia ndo kashinda kuwa mwakilishi wa Redds
 
Kichekesho gari halijaoshwa! Lundenga hayuko serious kabisa...

Mshindi huyu pia ndo kashinda kuwa mwakilishi wa Redds

lundenga tena,labda alikuwa bize kuwalamba.........ha ha ha...
 
jamani naomben mniambie mshindi ni nani niko mbali jamani

Pamoja sana mkuu hata mimi ninahamu sana hapa kujua ila ndo vile watu bado wanabana bana! Wekeni miss wetu hapa....
 
Lakini jamani kwani hawa hawawezi Kiswahili au kuongea English ni lazima,nafikiri kuna kaushamba fulani kwa hawa wenzetu,nafikiri Lundenga na waandaaji wenzake inabidi wapate shule kidogo...nasikia aibu na hicho kiingereza chao na kinawafanya hata washindwe kufikisha ujumbe wanaotaka na Invicible mbona video kiwango ni cha hali ya chini sana au ni vile vya cameraphone.....still production ya event nzima inaonekana wanahitaji mtu wa kuuwasaidia bado,jamani mlio juu au wanaotaka hii course ni mwaka mmoja tuu.
 
Kama picha hizi hazinidanganyi: Mgomange ni kwa hawa wafuatao:

IVONY BIGIRWA-KINONDONI
MIRIAM GERALD-MWANZA
SABINA BUDODI-MARA
SANDRA MALEBEKA-KINONDONI
SIA NDASKOI-TEMEKE
STELLA CHIDODO-SINGIDA
MARY JOSEPH- MARA



 
10_09_0z1mk9.jpg


Huyo ndio miss Tanzania 2009. Hongera mdada.
 
jamani naomben mniambie mshindi ni nani niko mbali jamani

Mshindi ni Miriam Gerald. Safari hii wadada wa Mwanza wakali kweli kweli, hakuna cha Kinondoni, Ilala wala temeke sasa hivi kupata umiss.
 
waweja sana....juu ya nini Mwanza muko juu sana
 
Back
Top Bottom