Vodacom mmeamua kutufanyia hivi ghafla tu

Vodacom mmeamua kutufanyia hivi ghafla tu

Zionist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
1,866
Reaction score
2,996
Mmepunguza MBs za kutosha

Screenshot_20220721-124103.jpg
 
Halafu pia Wana tabia ya ajabu hujaTUMIA Sana unashtukia washakula MB ETI ZIMEISHA
 
Wao watakwambia hawajapandisha bei mara ya mwisho walifanya kitu kama hiki ikaripotiwa na Blogu fulani hivi kule Twita, mheshimiwa mwenye mamlaka kwenye haya mambo akawachimba mkwara kuwa wanaripoti habari ambazo hazijabalansi🤣🤸🐒
 
Nikiwa nyumbani kuna hotel napata free wifi, nikiwa kazini kuna free wifi 😎
 
Nilijua tu itakuwa infinix kuna aina za simu watu wanatumia hata hawaelewi kama mabando yamepunguzwa au kuongezwa
 
Back
Top Bottom