Vodacom mmeamua kutufanyia hivi ghafla tu

Vodacom mmeamua kutufanyia hivi ghafla tu

Sisi ndio sababu ya serikali kuanza regulate bei ya bando, sisi ndo tulilalamika wakawekewa bei ukomo, mwanzoni walikuwa wanashinda, kwa sasa wako pamoja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
VODA imeingiliwa....imepoteza kabis sifa na uaminifu kwa watanzania.
wateja wengi wanailaumu Voda kwa kuwa na huduma mbovu tofauti na miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom