vodacom na afande kova

vodacom na afande kova

Mkuu unafananisha vitu viwili tofauti. Do you know the difference between Advertising and Public Service Announcement (PSA).

Radio One's Amani campaign ni PSA lengo lake sio kutangaza bidhaa au huduma kwa wateja bali kuelimisha umma juu ya masuala ya amani.

On the other hand Vodacom is advertising its M-PESA service. This is business, the aim is profit. By virtue of his office and public image Kova's endorsment of M-PESA is unethical advertising and favors Vodacom over its competitors.

Hakuna double standards hapo!
Mkuu umeiweka vizuri sana. Halafu kuna watu wanaona kawaida tu, na wanatetea kwa nguvu zote na zaidi wako humu ikimaanisha kuwa wana exposure kidogo ya mambo. Sasa pata picha kuhusu wale ambao hawajui hata internet ni kitu gani!!!!!
 
yaani kuna mnaotetea kova kutangaza biashara za kampuni tena kwa kutaja cheo chake? bora angetaja jina lake lkn c cheo na lile ni tangazo kalipwa kama matangazo mengine
 
Kamanda kova kachemka kwa yafuatayo
1. Huwez mtetea kuwa voda wamefuata atangaze au akumbushe raia kuweka pesa zao mahali salama ambapo ni vodacom, usalama wa raia na mali zao ni yeye kamanda mwenye jukum hilo na jesh lake na ilitakiwa aendelee kuwakumbusha kwa kadri anavyoweza kutumia njia zote salama. Hapa kuna maslahi binafsi au kamanda uelewa mdogo au hajui ukubwa wa cheo chake.

2. Hiyo njia anayosema salama watu waitumie hivi anajua ni biashara zipi watu wanafanya? Kuna watu wanamauzo makubwa sana hadi 200M per day huyu mtu utamwambia akatumie m-pesa, hata hayo matukio mnayotangazaga kwenye TV mnaona hzo figure au hakumbuki!! Hivi 50M unamshauri atumie m-pesa huyo afande hajui kazi yake. Jaman msimtetee kachemka mbaya

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
yeye kaongea kwa ajili ya kiusalama hii point ielewe mkuu
ni sawa sawa aseme tumieni bank fulani kuweka pesa na sio majumbani kwenye godoro

nawewe CTU tumia akili yako ya kuzaliwa. Unajua kabisa kova wadhifa wake ni upi na kumbuka kua hili tangazo limekaa kibiashara zaidi.hivi kwanza unajua role ya advertising kwenye marketing? Angefanya hivyo kama labda vodacom ingekua ni monopoly ila kiukweli sokoni yapo makampuni meng yanayotoa huduma hiyo.so kwa kupitia kova wateja wengi watahamia vodacom mpesa na affect profit kwa makampuni mengine.kama alikua na lengo na usalama angeyataja makampuni yote yanayotoa huduma hio. So tangazo limekaa kibiashara zaidi.
 
Yuko sahihi, anawashauri wafanyibiashara waache kutembea na mabulungutu na Vodacom wana hiyo facility. Ulitaka aseme tigo wakati hawana!

umeona ,sasa hapo voda wameparecod na kuweka kama tangazo kwa kuzaminia vipindi.
 
Back
Top Bottom