vodacom na ero link

vodacom na ero link

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
kiukweli hawa jamaa wa ero link wanajitahidi sana kutafutia watu kazi huko voda,ila jamani mshara ni mdooooogooo mbaya yaani ni mdogo kwa mtu mwenye degree yake!maendeleo yataletwa na sisi wenyewe ila kwa hili la ero link ni ngumu
 
twambie kiwango hicho kiwekwa mfukono mkuu
 
kiukweli hawa jamaa wa ero link wanajitahidi sana kutafutia watu kazi huko voda,ila jamani mshara ni mdooooogooo mbaya yaani ni mdogo kwa mtu mwenye degree yake!maendeleo yataletwa na sisi wenyewe ila kwa hili la ero link ni ngumu

mkuu, mshahara wako wa voda mnagawana na erolink
 
nasikia hawa mawakala wanalipa ifuatavyoo
nft tigo 500000
eri link vodacom 300000
spaco airtel 180000
 
Mmmmh hao ero link ni kiboko wao wanachukua zaidi ya robo tatu ya mshahara wako mkuu,maana kama wanalipa 246,000/= na wenyewe wanachukua 850,000/= kwa kila kichwa huo ni unyonyaji wa hali ya juu sana.Hivi ni makaburu wale au????
 
Nisaidieni jamani naenda kwenye interview kesho hivi wanauliza maswali gani ya oral....help
 
Back
Top Bottom