Vodacom na Makampuni Mengine Tumieni Wabunifu wa Nyumbani

mzirayk

Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
13
Reaction score
20


Nimeona hii video ya tangazo la Vodacom 4G lililotoka mwaka huu limefanana kila kitu na tangazo la Vodafone India 3G la mwaka 2014. Hii yote inatokana na kampuni kutumia creative directors wageni ambao akili zao haziwazi kwa mazingira ya Tanzania matokeo yake wanaishia kuiga concept za nje. Nadhani ni wakati haya makampuni yajifunze kuviamini vichwa vya nyumbani.
 
matangazo mengi ya tz ni hovyo kiwango cha phd.kuna yale ya king majuto aghrrr
 
Vodacom Igeni wenzenu wa tigo....kwa kuboresho meseji za mrejesho wa Mpesa
1. Mtu akipokea fedha meseji ioneshe jina namba ya simu iliyotuma. Now haionshi INABOA KAMA NINI
5CI818P5BPX Confirmed.
on 18/3/18 at 12:02 PM
Give Tsh103,500.00 cash to IBRAHIM ADAM SANGALI
New M-Pesa balance is TshXXXXX.10.

2. Mtu akituma hela semeni makato mekata bei gani na VAT bei gani?

Mnashindwa kuwa WABUNIFU hata kuiga nako shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…