Nimeona hii video ya tangazo la Vodacom 4G lililotoka mwaka huu limefanana kila kitu na tangazo la Vodafone India 3G la mwaka 2014. Hii yote inatokana na kampuni kutumia creative directors wageni ambao akili zao haziwazi kwa mazingira ya Tanzania matokeo yake wanaishia kuiga concept za nje. Nadhani ni wakati haya makampuni yajifunze kuviamini vichwa vya nyumbani.