Vodacom na Shambulio tamanishi. Nichukue hatua gani?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.

Je naweza kuwafunga?

Uzi tayari.
 
Ndugu 💡rimber tumia nafasi Yako ku deal na hao watu wanaokuringishia hela bila kujua wewe ni don kuliko wao
 
Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.

Je naweza kuwafunga?

Uzi tayari.
Hahaha! Kabla ya kuwafunga ulizia vigezo na masharti na riba pia
 
Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.

Je naweza kuwafunga?

Uzi tayari.
Wamekuona wewe Ponjoro mkuu
 
Back
Top Bottom