Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Mkuu unaniunga mkono lakini kwa kubeti?Ndugu 💡rimber tumia nafasi Yako ku deal na hao watu wanaokuringishia hela bila kujua wewe ni don kuliko wao
Hahaha! Kabla ya kuwafunga ulizia vigezo na masharti na riba piaWakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.
Je naweza kuwafunga?
Uzi tayari.
Wamekuona wewe Ponjoro mkuuWakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.
Je naweza kuwafunga?
Uzi tayari.
Nawafunga kwa kuniambia nina sifa na wakaishia kuninyimaHahaha! Kabla ya kuwafunga ulizia vigezo na masharti na riba pia