Vodacom naenda mahakamani

Vodacom naenda mahakamani

kuna ile wanakuunga huduma unakatwa hela kila siku ukiwapigia wanakuambia ulijiunga. Juzi nimekaa nashangaa meseji umeungwa huduma utakatwa 300 kila siku kujitoa bonyeza konyokonyo. Nikajiuliza kuna wale hawajui mambo mengi kwenye simu zaidi ya kupiga na kupokea wao ndio wanaumia sana.
Kwenye spidi ya internet utakuwa unawaonea. Ndio yenye spidi kuliko mitandao yote. Hilo la kuiba mb
Kila mtandao unaspidi hapa mjini ni wewe
 
Sema kwa kupeleka malalamiko hakupo lakini hawa voda ni wezi sana tena mchana kweupe .
 
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!

Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!!

Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!

Mnanikata bima makubaliano 4,000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?

Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!

Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?

Basi Sawa!! Najipanga!!
Mwenda mahakamani haji humu, unadhani wanaogopa kutishiwa nyau!
 
Back
Top Bottom