Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
kuna ile wanakuunga huduma unakatwa hela kila siku ukiwapigia wanakuambia ulijiunga. Juzi nimekaa nashangaa meseji umeungwa huduma utakatwa 300 kila siku kujitoa bonyeza konyokonyo. Nikajiuliza kuna wale hawajui mambo mengi kwenye simu zaidi ya kupiga na kupokea wao ndio wanaumia sana.
Kila mtandao unaspidi hapa mjini ni weweKwenye spidi ya internet utakuwa unawaonea. Ndio yenye spidi kuliko mitandao yote. Hilo la kuiba mb
Hivi yule wakili jf member humu smbdy yakub alivyoishtaki tigoTafuta wakili mzuri mwanangu tupige pesa
Tigo wapo vizuri utaweka Salio lako hata mwezi utalikuta lipo vile vile sio vodamitandao ya TZ yote inaibia raia YOTE
nilihama Tigo sababu ya huo ujinga sasa sijui Tigo ipi unayoisemea mkuuTigo wapo vizuri utaweka Salio lako hata mwezi utalikuta lipo vile vile sio voda
Wezi sana hawa, hili nimeshakutana nalo.Kujua Vodacom ni wezi
Unga salio la Tsh 1000 liache kwa simu,usipolitumia ndani ya masaa 24 unakuta limepungua,wamefyeka Tsh 100 au 200
Mwenda mahakamani haji humu, unadhani wanaogopa kutishiwa nyau!Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!
Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!!
Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!
Mnanikata bima makubaliano 4,000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?
Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!
Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?
Basi Sawa!! Najipanga!!