Matangazo na hasa usiku ni kero! Muziki sauti kubwa sana.Binafsi sijaona tatizo kupata meseji za vyama tofauti tofauti kwani hata Nchi zilizo endelea hawatangazi kwenye magari barabarani ya kupigia watu kelele wakichapa kazi
Badala yake hutumia TV, Twitter, sms na njia mbalimbali mbadala za kielekroniki kuwasiliana na watu
Si walisema ccm hawatopiga kampeni na kutokutumia wasanii??Vip tena kwa Sms[emoji4]
Wapite mara ngapi,mcheki gwajiboy😂😂😂😂😂😂
Duh, mwaka huu wamekabwa kweli kweli, nadahani wataanza mpaka kupita majumbani
Huwezi kureply!Hivi ukishapokea huo ujumbe system inaruhusu reply?
Kwa hiyo unataka moderators wauondoe kwenye simu yako?Mods huu ujumbe umetumwa kwa simu yangu
Walivyosema kampeni itapigwa kitanda kwa kidanda hukuwaelewa? Tunataka 90% ya kura zote, ili tumpe nguvu zaidi jeipiemuSi walisema ccm hawatopiga kampeni na kutokutumia wasanii??Vip tena kwa Sms😊
Tatizo lipo unatoaje namba ya mtu kwa chama cha siasa bila ruhusa yake, CCM sio polisi na hawana order ya mahakama kuchukua na kutumia au kufuatilia namba yangu kilichofanyika hapa ni kosa hakuna kupindisha, mazoea hayawezi fanya kosa likawa sio kosa.Binafsi sijaona tatizo kupata meseji za vyama tofauti tofauti kwani hata Nchi zilizo endelea hawatangazi kwenye magari barabarani ya kupigia watu kelele wakichapa kazi
Badala yake hutumia TV, Twitter, sms na njia mbalimbali mbadala za kielekroniki kuwasiliana na watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.
Nitachukua hatua zaidi.
Mbona wameanza mdankupita nyumba kwa nyumba kuomba kura[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, mwaka huu wamekabwa kweli kweli, nadahani wataanza mpaka kupita majumbani
Hali ni tete sana Pale CCM makao makuu.
Tathmini ya kikao cha siri cha jana inasemekana ripoti zinasema maji yamezidi unga na kuni za kuchochea moto zimekuwa majivu. Kila silaha sasa inaingizwa vitani.
Hairuhusu halafu kwa uelewa wangu ni kwamba sio kila mtu anapata hyo msg nafikiri ukitajwa na jina lazima uwe na connection flan labda una kadi ambayo ulijisajili kama mwanachama halali si kwamba zimetumwa randomlyHivi ukishapokea huo ujumbe system inaruhusu reply?
Broo, ukiamka kutoka kwenye huu isingizi nenda kanywe chai. Usipige mswaki. Zingatia masharti achana na vigezoNimeshakaa kwenye mtandao hapa nasubiri wanitumie tu, hakika watanipa fungu zuri sana la kunifanya nipumzike hata miaka mitatu bila kuumiza kichwa.