Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #41
Hahahahaha kama Mimi! Haya karibu kwenye maombi!Ahahahahah usingz umeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha kama Mimi! Haya karibu kwenye maombi!Ahahahahah usingz umeisha
Nimeingia istagram dakika 3 nyingi.yaani kuingia tuYani kuingia uko na izo mb. Ndo umejiroga. Vd ni noma na wako speed kweli kweli kutuibia mb zetu. Tofauti na Halotel, mb zao zinaenda taratibu sn, sema mtandao ndo kimbembe
Wapigie sasa gone wanavyojibu jeuriNimeingia istagram dakika 3 nyingi.yaani kuingia tu
Kweli Jana nilikuwa nimechoka na akili haikuwa vizuri ila nakumbuka sijaingia popote pale zaidi ya jf kusoma kesi ya mbowe.nikazima data nikalala.mb 550.
Kutoka saa 2 usiku mpaka saa 9 usiku zimeisha kweli?
Kumbe bora ni baki eateliwezi walionizoea wanaiba kidogokidogo.Kwa kweli Halotel internet yao mi mwenyewe imenishinda kbsaaaaa. Iko bored sn. Niko vda na nitapmbn na iyo iyo vd.
Ahahaha si unajua insta inavyokula mb?. Ss nao ndo wameamua kujipitia apo apo vd. Yani vd ukiingia sehemu km insta, Vidmate, YouTube, au udownload kitu ni umekwishaaa. Mb zinaenda km maji vile. Mimi majuz nilijiunga Halotel gb2, huwez amini nilikuwa na download series ya squid game mpk imeisha na mb zengne wameenda nazo muda uliisha. Lkn vd ata siku 2 ya kifurush nicngefikaNimeingia istagram dakika 3 nyingi.yaani kuingia tu
Kweli Jana nilikuwa nimechoka na akili haikuwa vizuri ila nakumbuka sijaingia popote pale zaidi ya jf kusoma kesi ya mbowe.nikazima data nikalala.mb 550.
Kutoka saa 2 usiku mpaka saa 9 usiku zimeisha kweli?
Asanteee, nakuja tuombe pmjHahahahaha kama Mimi! Haya karibu kwenye maombi!
Mi ata kupokeaga hawapokeagi. Mtandao ambao ukipiga unawapata na wanaweza kukujibu maswali yako vzr kdg ni Airtel. Kidg nawaona wako vzr kwenye huduma kwa watejaWapigie sasa gone wanavyojibu jeuri
[emoji2] Hadi Airtel kumbe?Kumbe bora ni baki eateliwezi walionizoea wanaiba kidogokidogo.
Nanunuaga ya 2000 GB 1.5 kwa siku tatu lakini simalizi siku2 imakekata. Masaa24 mengi ikizidi sana 28. Nilikuwa halotel nkaenda voda.. Nimetua airtel . sa sijui tukimbilie wapi[emoji2] Hadi Airtel kumbe?
I know this night is weighing heavy on your heartAsanteee, nakuja tuombe pmj
Nawatukana.Wapigie sasa gone wanavyojibu jeuri
KhaNjoo tigo hutouuta
Karibu mkuuKwa kweli Halotel internet yao mi mwenyewe imenishinda kbsaaaaa. Iko bored sn. Niko vda na nitapmbn na iyo iyo vd.
Angalia Kuna apps itakuwa zinakula data hata kama haujazifungua usiwalalamikie Voda check your phone pia punguza mi application ambayo unaona haina kazi.. halafu usikute umeweka 4G unakuja kulalamika huku unafikiri 4G inakula pipi ndugu..? Ile inatafuna mb haswaa..😂Nimeingia istagram dakika 3 nyingi.yaani kuingia tu
Kweli Jana nilikuwa nimechoka na akili haikuwa vizuri ila nakumbuka sijaingia popote pale zaidi ya jf kusoma kesi ya mbowe.nikazima data nikalala.mb 550.
Kutoka saa 2 usiku mpaka saa 9 usiku zimeisha kweli?
Mitandao yote ni shida maana unajikuta unazunguka kutoka mmoja kwenda mwingine. Unajiuliza regulators hawayaoni !!??Ndani ya week hii we mtu wapili kuwalalamikia voda. Hama mkuu jaribu mtandao mwingine
Anayejua mtandao wenye bando nzuri anijuze ila sio Voda
Wengi wanalalamikia Mitandao bila kuelewa,Unakuta kasett automatic downloads wasapu,sijui telegram ku update App automatic ana App unnecessary,bando linawahi kuishia anaanza kulalamika Mtandao Fulani ni wezii wakati hajaangalia simu yake vizurii + matumizi yake.Nani hajui Insta inakula Mb?Nani asiye jua YouTube Vidmate wanakula mb pasipo kawaida?Angalia Kuna apps itakuwa zinakula data hata kama haujazifungua usiwalalamikie Voda check your phone pia punguza mi application ambayo unaona haina kazi.. halafu usikute umeweka 4G unakuja kulalamika huku unafikiri 4G inakula pipi ndugu..? Ile inatafuna mb haswaa..[emoji23]
Hahahaha [emoji3]Nanunuaga ya 2000 GB 1.5 kwa siku tatu lakini simalizi siku2 imakekata. Masaa24 mengi ikizidi sana 28. Nilikuwa halotel nkaenda voda.. Nimetua airtel . sa sijui tukimbilie wapi
Waambie kmmmmmmmmae zaoMitandao yote ni shida maana unajikuta unazunguka kutoka mmoja kwenda mwingine. Unajiuliza regulators hawayaoni !!??