edwinito
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 210
- 24
Nilikuwa Mbeya majuzi, kila nilipojaribu kuingia Cheka Time, nilijibiwa; "Huwezi kujiunga na Cheka Time leo, jaribu tena kesho"! Basi hiyo kesho "ilikuwa kesho, kesho kesho keshooooo"! Nina ndugu yangu kule Mbeya aliwahi kuniambia lakini sikuamini, kwa kweli nimeshuhudia mwenyewe!!! Kimbiza haoooo, wezi wakubwa!!!!!!