Kwa faida ya watumiaji wengi zaidi na Vodacom wenyewe ni vema haya malalamiko ungeyafikisha (kama bado hujafanya hivyo!) pia Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA). Ni rahisi tu, fuata link hii hapa chini:
http://www.tcra.go.tz/customer/complaints.php
Moderator tafadhali usibadilishe heading nimemaanisha iwe hivyo kwani Vodacom ni wezi kweli kweli sio masihara. Nimekuwa najiunga na cheka time yao ambayo wanadai ni 24 hours japo si kweli. Lakini cha ajabu hata hayo masaa ambayo bado ni less than 24 hawatoi hiyo huduma inavyotakiwa matokeo yake wanaiba kwa ku-double charge. Wanadai muda wa cheka time ni ni saa 12-11 jioni na saa 3-6 usiku lakini mara nyingi hiyo saa saa 3 mpaka 6 usiku hata kama una dakika 60 za cheka time hawatumiii hiyo balance badala yake wanakucharge kawaida. Huu kama sio wizi ni nini? Hiyo double charge jamani inakuwaje? Hakuna apology wala refunds kama tulivyozoea mitandao mingine wao wanauchuna, wakikucharge wrongly ndio imetoka hiyo. Its true kwamba computers huwa zinafail lakini basi muwe mnarefund kama wanavyofanya wengine? Huu kama si ufisadi nao tuuiteje? Otherwise badilisheni jina la hii huduma yenu badala ya CHEKA TIME iwe NUNA TIME maana huwezi kucheka kwa kuwa double charged sana sana utaishia kununa tu.
Nilikuwa Mbeya majuzi, kila nilipojaribu kuingia Cheka Time, nilijibiwa; "Huwezi kujiunga na Cheka Time leo, jaribu tena kesho"! Basi hiyo kesho "ilikuwa kesho, kesho kesho keshooooo"! Nina ndugu yangu kule Mbeya aliwahi kuniambia lakini sikuamini, kwa kweli nimeshuhudia mwenyewe!!! Kimbiza haoooo, wezi wakubwa!!!!!!
Zantel CHEKA TIME ya ni 200/= tu, afu ni 24hrs,lakini hamtaki kujiunga.
Wajinga ndo waliwao.
Pole sana kwa kutokucheka,hicho wanachofanya voda ndio kina maanisha cheka time wewe ulipaswa kucheka kwa lililokutokea,sababu kuwa double charged ni sehemu ya kicheko pia,ulitakiwa kucheka sababu wao wamekuwa wajanja zaidi yako,wala hauna haja ya kununa,we cheka tuu!!Moderator tafadhali usibadilishe heading nimemaanisha iwe hivyo kwani Vodacom ni wezi kweli kweli sio masihara. Nimekuwa najiunga na cheka time yao ambayo wanadai ni 24 hours japo si kweli. Lakini cha ajabu hata hayo masaa ambayo bado ni less than 24 hawatoi hiyo huduma inavyotakiwa matokeo yake wanaiba kwa ku-double charge. Wanadai muda wa cheka time ni ni saa 12-11 jioni na saa 3-6 usiku lakini mara nyingi hiyo saa saa 3 mpaka 6 usiku hata kama una dakika 60 za cheka time hawatumiii hiyo balance badala yake wanakucharge kawaida. Huu kama sio wizi ni nini? Hiyo double charge jamani inakuwaje? Hakuna apology wala refunds kama tulivyozoea mitandao mingine wao wanauchuna, wakikucharge wrongly ndio imetoka hiyo. Its true kwamba computers huwa zinafail lakini basi muwe mnarefund kama wanavyofanya wengine? Huu kama si ufisadi nao tuuiteje? Otherwise badilisheni jina la hii huduma yenu badala ya CHEKA TIME iwe NUNA TIME maana huwezi kucheka kwa kuwa double charged sana sana utaishia kununa tu.
siku hizi jamani kuna simu za tochi zimetulia sana sh 35000 tu!, which means ukiwa na kilo na nusu then utakua na simu nne zenye line nne tofauti na utaamua mwenyewe utumie ipi uache ipi!!!. ila my self i like KUJIEXPRESS safi sana huu mtandao!!, kwa sh 2000 unalonga kwa zaidi ya dk 25Du sasa nitakuwa na line ngapi za simu mkuu?? Ila tangu awali zantel ni tarrif ni ndogo kuliko hata tiGo.
Hawezi kuwa mlalahoi huyu!! Walalahoi wako TIGO na ZANTEL!
kauli kama hizi zilishatolewa hapa JF kama miezi 4 iliyopita kama sikosei lakini mijitu bado haielewi eti tIGO ni za wanafunzi sh@#$@# kabisa, endeleeni na hiyo voda..wajanja wako tIGO na ZantelLa Mgambo!!!!
Wakati umefika wa kususia mtandao wa Vodacom na biashara zote ambazo RA ni mwanahisa, tukiendelea kucheka na huyu muIran atatumaliza tunajiona walahi...........
mi akitaka natoa bure hiyo BUSY KADIHivi simcard ya Tigo inauzwa shilingi ngapi?