Hili tatizo linaanza kuwa kitu cha kawaida kwa voda.Sasa ifike sehemu mseme kama mnashida kwenye mtandao wenu ama mnyamaze tu na sisi tuondoke.
Internet shida sana. Mpesa shida kiasi, kupida simu shida pia.
Dawa ya hawa ni Serikali iruhusu Starlink ifanye kazi tuachane na haya majizi.Sasa ifike sehemu mseme kama mnashida kwenye mtandao wenu ama mnyamaze tu na sisi tuondoke.
Internet shida sana. Mpesa shida kiasi, kupida simu shida pia.