Vodacom nimekuwa mteja mwaminifu kwa miaka 14 - Sasa inatosha

Miaka ya 2000 kipindi mererani kupo kama hamna serikali kuna mgahawa kwa nje kulikua kumeandikwa karibu mteja ila ukiingia ndani unakuta kumeandikwa mteja ni msenge 😁😁

Ilikua Kama wewe sio mbabe basi ukienda kula hapo uwe na hela ya chenchi vinginevyo utanunua chakula cha jero kwa elfu kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…