Vodacom pia walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili

Nani na nani waliendesha hiyo kampeni mkuu?maana ushahidi umetolewa just two weeks ago na sijaona hiyo kampeni ya kususia vodacom.
Kwani lazima ujue wewe wakati chanzo chako cha habari ni uhuru na mzalendo?
 
Wewe hujakatazwa kuwasema hao voda wala hujalazimishwa kuilamu tigo.

Hivyo hivyo huna mamlaka ya kuwalaumu wanaotoa mawazo yao maana hili ni jukwaa huru.
Umenena vyema!basi kama hili ni jukwaa huru na kola mtu anahaki ya kutoa mtazamo wake pasipo kuvunja sheria naomba nikuwekee hicki kibwagizo hapa chini

"Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana

Mnasumbua tu mahakana"
 
Hizo ni hisia zako ambazo kimsingi ni haki yako kuzimiliki.
 
Wanaolalamika ni kwamba uwezo wao wa kufikiri umefikia ukomo huo
 
Inawezekana una upungufu wa akili na kama unazo umekataa kuzitumia.

Fuatilia mahojiano cross examination kati ya Kibatala na mwanasheria waTigo ndio utaelewa kwa nini taaruki imekuwa kubwa na tigo inakwenda kupoteza wateja wengi.

Ni vitu viwili tofauti unataka kuwaaminisha watu ni jambo moja.

Wote tunajuwa simu zinarekodiwa lakini wewe kwa makusudi au kwa upumbavu unajisahaurisha kujuwa wakili wa tigo amejibu nini.
 
Tigo haiwezi kupoteza wateja kisa wapumbavu wachache nyie wa hapo ufipa!

Muulize mr Belgiji na Lema waliwahi kuhamasisha watu wavunje laini za voda, ila siku chache baadae wakaweka hadharani namba zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango!

Mkiitwa nyumbu ndio kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…