Vodacom pia walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili

 
" Wawenje ameileza mahakama kuwa amekuwa akishirikiana kutoa taarifa za uchunguzi kwa mujibu wa sheria.

Kusimamia ulinzi na mali za kampuni na kishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kutoa nyaraka zinapohitajika kwa mujibu wa sheria."

Wewe unajichanganya, kosa la mwanasheria wa tigo ni kujibu kijinga kuwa wao kulinda taarifa za wateja sio jukumu lao, angejibu kama hapo juu na kuonyesha jinsi utaratibu wa kumba, kupokea kama ulifuata sheria kusingekuwa na shida.
 
Malalamiko siyo Kapala kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama, malalamiko ni utaratibu aliotumia Kapala. Yaani yeye mtu mmoja anapokea barua ambayo hailezi tuhuma au kosa la mtu (ili kujua sababu za kutaka taarifa zake), yeye mwenyewe peke yake anaingia kwenye mtandao, yeye mwenyewe anaprint taarifa, yeye mwenyewe anajibu barua na kuwasilisha taarifa hiyo kwa waliomuomba.
Yaani kana kwamba yeye ndiye Tigo au Tigo hakuna watu wengine!
Je kama alipeleka taariifa zisizo sahihi nani alizihakiki? Kumbuka alipeleka printout siyo snap shot (sijui kama unajua kuwa print out ni rahisi kui-edit kuliko snap shot.
Kwa utaratibu huo inawezekana viongozi wengine hata mkuu wa kitengo cha sheria wasijue kama kuna taarifa binafsi zimevujishwa.
What if mtaka taarifa ana ugomvi binafsi na anataka taarifa hizo kumchafua mwenzake -una control vipi katika mazingira hayo?
 
Nani na nani waliendesha hiyo kampeni mkuu?maana ushahidi umetolewa just two weeks ago na sijaona hiyo kampeni ya kususia vodacom.
Hiyo ya juzi si mara ya kwanza kwa hiyo kampuni kutoa ushahidi mahakamani. Two to three years ago, or so,; walifanya kitu hicho nami nikadhani ama mmoja wa wamiliki ni wa chama cha mafisadi na labda wamejifunza kutokana na reaction ile kumbe sikio la kufa.
 
Nje ya mada.

Vodacom vs Tigo.

Jina lipi walau lina mvuto kwa muonekano na kulitamka?
 
Shida ni kwamba kesi ya Mbowe ipo wazi kabisa kwamba ni ya kutengenezwa kulingana lakini ya Sabaya 100% bila hata ushahidi you can tell kwamba the guy alikua muuaji na muhujumu uchumi na gaidi
 
Hawajalalamika tigo kutoa ushahidi bali ni alichokieleza mwanasheria wa tigo kuhusu privacy za mteja
 
Shida ni kwamba kesi ya Mbowe ipo wazi kabisa kwamba ni ya kutengenezwa kulingana lakini ya Sabaya 100% bila hata ushahidi you can tell kwamba the guy alikua muuaji na muhujumu uchumi na gaidi
Wewe dada una akili kubwa,hii ni comment fupi inayoeleweka kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu
 
Gaidi ambaye hajawahi hata kumchoma mtu sindano....

Terrorists usually are arrested with explosive devices!!! Mpaka sasa hakuna explosive device iliyoletwa mahakamani to show intent to commit a violent act!!
Ndioa maana kama sheria zinavyosema kuwa Jaji atoe hukumu ya kesi kufuatana na ushahidi uliotolewa mahakamani na sio vinginevyo!
 
Jambazi kama Lengai Ole Sabaya inafaa anyongwe Hadharani
 
Shida ni kwamba kesi ya Mbowe ipo wazi kabisa kwamba ni ya kutengenezwa kulingana lakini ya Sabaya 100% bila hata ushahidi you can tell kwamba the guy alikua muuaji na muhujumu uchumi na gaidi
Ubarikiwe sana kwa comment iliyo jitosheleza
 
tatizo sio kutoa ushahidi, tatizo ni kauli kuwa wao tigo wanadhamini mamlaka kuliko usiri wa taarifa za wateja
 
Terrorists usually are arrested with explosive devices!!! Mpaka sasa hakuna explosive device iliyoletwa mahakamani to show intent to commit a violent act!!
wajinga tu wale, Kingai utadhani hana ndugu, ndio shida ya ku-recruit watu kwenye sensitive positions ambao ni maskini kifikra kama Kinagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…