Vodacom Premier League 21/02/2015-Live Score

Polisi wazuri lkn hawana beki
 
Dah

Mtibwa kalala Mkwakwani kwa maafande
 
pole sana Mecky nilikuona Chamazi ulipolala 5 nikaona huruma sana, naona jahazi linazidi kwenda mrama
 
pole sana Mecky nilikuona Chamazi ulipolala 5 nikaona huruma sana, naona jahazi linazidi kwenda mrama

Pumba na mchele vimeanza kujitenga, sasa ni vipigo mpaka mwisho wa ligi.
 
Jidanganye, kesho stand united watatamani kurudi daraja la kwanza.

Bhebhe Masuke, ni bhuli okhujaga shimba wilekaga bhung'wene nyapina i mbita ya kukaya? Kukaya kuwandigijo, abhangi kunuma!

Masuke, why have you left alone as an orphan the home team in favour of the lion? Others should follow after the home side!

Masuke, kwa nini umeiacha timu ya nyumbani kama yatima kwa ajili ya Simba? Nyumbani kwanza, wengine wanafuata!
 
Last edited by a moderator:

Kama ni nyumbani kwa maana ya mkoa hiyo si timu yangu, mimi natoka wilaya moja inaitwa Busega imegwa kutoka wilaya ya Magu kwa hiyo nyumbani ni mbali sana na hiyo timu. lakini kama nyumbani kwa maana ya sukuma land sawa, hata hivyo ni simba kwanza zingine baadaye labda kama itapanda daraja timu ya Pamba.
 

Hakuna cha mkoa wala wilaya, Sukumaland kwanza, wengine baadaye.

Pamba iko kaburini, itafufuka siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu kwa kuifunga timu moja ya Shelisheli magoli 8 katika mechi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…