Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa kauli yako hilo jina.
pole sana Mecky nilikuona Chamazi ulipolala 5 nikaona huruma sana, naona jahazi linazidi kwenda mrama
Kandambili Leo hawachezi???
Futa kauli yako hilo jina.
kandambili limeandikwa kwa chuma
Akifuta linatokeza Yebo yebo.
stand united 3_simba 1
Jidanganye, kesho stand united watatamani kurudi daraja la kwanza.
Matokeo yakoje uko??
Kandambili Leo hawachezi???
Bhebhe Masuke, ni bhuli okhujaga shimba wilekaga bhung'wene nyapina i mbita ya kukaya? Kukaya kuwandigijo, abhangi kunuma!
Masuke, why have you left alone as an orphan the home team in favour of the lion? Others should follow after the home side!
Masuke, kwa nini umeiacha timu ya nyumbani kama yatima kwa ajili ya Simba? Nyumbani kwanza, wengine wanafuata!
Kama ni nyumbani kwa maana ya mkoa hiyo si timu yangu, mimi natoka wilaya moja inaitwa Busega imegwa kutoka wilaya ya Magu kwa hiyo nyumbani ni mbali sana na hiyo timu. lakini kama nyumbani kwa maana ya sukuma land sawa, hata hivyo ni simba kwanza zingine baadaye labda kama itapanda daraja timu ya Pamba.