Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Kipindi kama hiki ndio huwa tuna boronga Ubingwa bado sana aisee
Jenga tabia ya kukubali matokea ya matatu.. Timu zote zinahitaji ushindi hata wao Lipuli. Tushukuru hatujapoteza mchezo
 
Mikia fc sahau ubingwa, hii droo ya Leo ni mbaya sana kwenu. Ni misimu yote kuelekea mwishoni mwa ligi ni lazima mboronge na kuipa ubingwa timu bora Tanzania ya Yanga kuchukua ubingwa.
 
Yaani pengo lake lilionekana kabisa Mtani. Alikuwa na shida gani kwani leo?
Nimeelezea hapo kwenye thread kuwa alikuwa na kadi tatu za njano mkuu

Lakini si matokea mabaya mkuu Hajar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…