Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Duu!! asant ila Naona huku tuko tofauti ila majuu mambo ni hiviiii!.Moja moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu!! asant ila Naona huku tuko tofauti ila majuu mambo ni hiviiii!.Moja moja
Duu!! asant ila Naona huku tuko tofauti ila majuu mambo ni hiviiii!.
Hahaaa. Mmejua kujiongeza Mtani sababu hiyo tarehe 29 mngepwaya zaidi.Kadi 3 za njao,kwa mtu kama yeye kulimwa kadi leo si ajabu,angeikosa Yanga
Sio mabaya kabisaa Mtani.Nimeelezea hapo kwenye thread kuwa alikuwa na kadi tatu za njano mkuu
Lakini si matokea mabaya mkuu Hajar
Hahaaaaa. Tuna game ngumu ila naamini tutapata matokeo Insha Allah.Tungoje kesho kwako. Yamkini vita ni kubwa mno
kikosi kipana. Vipi tena jana kutomchezesha Mkude Simba?Sio mabaya kabisaa Mtani.
Wanasema alikuwa na kadi tatu za njano hivyo walihofia angeweza kupata red hivyo game ya tarehe 29 ingemkosa. Hahaaaaa.Si huwa wanasema wana kikos
kikosi kipana. Vipi tena jana kutomchezesha Mkude Simba?
wooooiNimeamini Simba ni big brand ikidroo watu wanatrend sanaaa kuliko ndala akishinda povu ruksa
Kuna watu walikua wameshaanza kupiga kelele hapa jirani nikaona ngoja niondoke za, sasa goli lilivyorudi nikaona kimyaaaa! Hahaaa, hebu nambie hali yako ilikuaje baada ya mechi?Sesten Zakazaka mbona ulikimbia sasa. [emoji12][emoji12][emoji12]
Kwa wakati huu Mavugo hakupaswa kuchezea Simba kwa jinsi kiwango chake kilivyokua cha chini na ukizingatia yeye ni professional playerMavugo, aongeze mazoezi ni mzito, hana shabaha ya goli, hakabi, hana spidi, hayuko makini golini, anapapara golini, hajiamini hana utulivu golini, na anasubiri mpira umfikie badala ya kuhangaika kuutafuta.
Zaidi ni Mchezaji mzuri sana kama atafanya bidii ya mazoezi na kujirekebisha hayo makosa yake.
Adam Salamba aliyeifungia goli Lipuli fc ni mshambuliaji mzuri sana.
Simba wamsajiri Salamba atawasaidia misimu ijayo, bado ni kijana mdogo sana na tatufaa kwa misimu mingi.
Zaidi naipongeza Simba sc kwa kujituma hadi kurudisha goli jana na Lipuli fc.