Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Hapana kawaida tu. Ndo soka ndo maana sikuacha kuleta Updates. emmyta amecharua na kafurahi sana lakini ndo utani. Ila lile swali halikuwa mahala pake.
Hahhaaa. Utani muhimu Mtani tukifurahi hivi ndio kuongeza siku kwenyewe.

Ila nina furaha sana Mtani.
 
Aiseee. Naipenda sana hasa ikija hizi mambo za watani unitoi mpaka kieleweke.

Kwani we rafiki upo upande gani wa shilingi? [emoji12]
Dooh! umetisha sana rafiki sikutegemea kabisa kama unaweza kua hadi huku..

Kwenye hii shilingi rafiki mimi nipo upande wa pembeni [emoji12] [emoji12]
 
Hahhaaa. Utani muhimu Mtani tukifurahi hivi ndio kuongeza siku kwenyewe.

Ila nina furaha sana Mtani.
Najua hilo. Natamani weledi ungeruhusu nikuone. Maana sipati picha furaha yako ikoje

Binafsi nawapongeza Stand Utd kwa kuchomoa goli zote tatu. Ndo soka Mtani.
 
Kabisaaa. Leo mambo ni motooo.

Natamani leo ingekuwa jumapili kesho ikawa jumatatu yaani Ofisini ingekuwa raha tupu yaani.
Hahahahahaha siku yangu Leo nzuri........... Ntainjoi vizuri huku visiwani lol
 
Dooh! umetisha sana rafiki sikutegemea kabisa kama unaweza kua hadi huku..

Kwenye hii shilingi rafiki mimi nipo upande wa pembeni [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa. Wacha hizo rafiki lol.

Itakuwa una majonzi hapo sio bure aiseee. Pole rafiki yangu wa ukweli. [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaha King Ngwaba zimbaa yako imeanza kuususia ubingwa


Ni [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Pekee Ndiyo Mulio na Wasiwasi na Ubingwa Wa [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG]! Lakini sisi Mashabiki [HASHTAG]#Kindakindaki[/HASHTAG] Wa Simba Hatuna Wasiwasi Hata Kidogo Wa Ubingwa Wetu, Tena Tunachukua Bila Ya Kufungwa Mchezo Hata Mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…