theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Juzi kati kanjibai alitembea na pesa yangu imenibidi nitulie kwanza.....Daaahhh.
Upepo hauna mwelekeo sahihi mkuu, kimbunga kikija tulia ili kipite halafu utendelea na safari hali ya hewa ikitulia
Maana mwishoni mwa ligi mambo huwa tofouti kabisa....