Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Umeshachoka kushika yale mananiliu. Pole sana.Hivi hauishi tu!
Hahahaaa. Tuombe uzima aiseeee mtani.Siku hiyo ukinifunga nakupeleka kempsky ukapate dinner.....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Taratibu wamchangani wanarudi kwenye nafasi yao
[emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera sana mtani wangu umejua kujikaza sababu uliokuwa unatangaza nao wote wamekuacha peke yako.Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanja wa Taifa.
Naam mpira umekwisha uwanja wa Taifa. Ambapo timu zote imetoshana nguvu kwa kila timu kupata mabao matatu
Simba SC 3-3 Stand United
Let me save the date....Hahahaaa. Tuombe uzima aiseeee.
Sita tu huku sisi Yanga tuna mchezo mmoja mkononi.Mpaka hapo simba anazidi Yanga point ngapi?
pt 6..Mpaka hapo simba anazidi Yanga point ngapi?
Kete zimeanza kukaa sehemu zake sasa.Naona wanaendelea kuzidondosha tu
Point 6, Yanga ana gemu mkononi nafikiri.Mpaka hapo simba anazidi Yanga point ngapi?