Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanja wa Taifa.

Naam mpira umekwisha uwanja wa Taifa. Ambapo timu zote imetoshana nguvu kwa kila timu kupata mabao matatu

Simba SC 3-3 Stand United
[emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera sana mtani wangu umejua kujikaza sababu uliokuwa unatangaza nao wote wamekuacha peke yako.

Huo ndio ushabiki sasa Mtani wangu. Nimeipenda hii.
 
Leo Stand na Referee hawakupokea Mlungula...
 
Hahaaa tofauti ya points inazidi kupungua tuuu,
Mikia tumbo joto
 
Back
Top Bottom