Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Barafu jana katembelewa na pep arsenal yake imepigwa leo tena wapiga debe wanamlaza njaaa
 
Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanja wa Taifa.

Naam 90' dakika za mtanange wa soka kati Simba SC dhidi ya Stand United zimekwisha uwanja wa Taifa. Ambapo timu zote imetoshana nguvu kwa kila timu kupata mabao matatu. Asanteniiiii wako Ghazwat..

Simba SC 3-3 Stand United
 
Back
Top Bottom